yAap Cologne hapa zipo office zetu Mara nyingi nakuwa njeMkuu kumbe upo cologne?
gharama za maisha ni balaaUsihofu ndugu. Ni nchi nzuri na salama sana huku Ulaya. Nimewahi kuishi kwa miaka miwili Donaueschingen na Waldshut-Tiengen. Karibu uje upumzishe akili uyasahau ya akina Mo na wengine. Wasalimie ndugu na jamaa hapo nyumbani TZ.
Write your reply...
amin ipo cku utafika Mkuu hata mbuyu ulianza kama mchicha
now nipo hapa Cologne Germany
December lazma nije tz kusherekea Xmas kabla ya kufanya programs zetu ktk nchi za Latin America zipatazo 8 lucas mobutu
ni nchi yenye ustaarabu wa hali ya juu,na wanaheshimu haki za binadamu mno,mziki ni kuipata visa yake ila ukifanikiwa kuingia kazi ni nje nje na hela IPOMkuu inaonekana una Experience na nchi za watu siku moja natamani kufika Norway kutafuta maisha hiyo nchi ikoje?
nimechanganya Mkuu nilikuwa namaanisha mji wa Aargau uswisi ,AARHUS IPO Denmark ktk peninsula ni mji wa peninsula wenye watu wengi ktk Nordic countries nimewahi talii hapo wakati nikiwa malmo SwedenAarhus ipo uswisi?
Ni ngumu kwelini nchi yenye ustaarabu wa hali ya juu,na wanaheshimu haki za binadamu mno,mziki ni kuipata visa yake ila ukifanikiwa kuingia kazi ni nje nje na hela IPO
nilipita Mara moja pale Oslo
britanicca amefikA pale pia
mm visa yangu naingia nchi zote za Nordic countries chezea visa ya mjerumani weye,?Ni ngumu kweli
nimechanganya Mkuu nilikuwa namaanisha mji wa Aargau uswisi ,AARHUS IPO Denmark ktk peninsula ni mji wa peninsula wenye watu wengi ktk Nordic countries nimewahi talii hapo wakati nikiwa malmo Sweden
cc
britanicca
NIYOMBARE
Vipi mkuu,mbona umeshtuka?[emoji1][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Malmo na Aarhus?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Malmo na Aarhus?
Vipi mkuu,mbona umeshtuka?[emoji1]
Shwari kiongozi,sijui wewe?Naona jamaa ananichanganyia GPS hapa, vipi mkuu kwema?
Aarhus sio Denmark hio mkuu?.,Write your reply...
naifahamu vyema,huwa naitembelea Mara nyingi ktk program Fulani
maana shirika langu nalofanyia kazi lipo ujerumani AmbAyo ni jirani
mji wa Zurich una maisha ghali kulinganisha na mingine
mjini Basel nilibahatika kufika
kiujumlA ni nchi ya kitajiri uwe na hela ya kutosha
mostly wanazungumza kijerumani
pia nilifika mji wa Aarhus
britanicca
lucas mobutu
nilikosea kuandka somA comment juu hapo nime correctAarhus sio Denmark hio mkuu?.,
Duh Nikipata Chance Siku moja ya kuja uko ntaitumia effectivenilikosea kuandka somA comment juu hapo nime correct
karibuDuh Nikipata Chance Siku moja ya kuja uko ntaitumia effective