MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,239
- 6,776
Mimi ninachojua ni kuwa uswisi ni nchi ambayo ni very mountainous..Salam wanaJF,
Niko safarini kuelekea Basel - Switzeland.
Naomba wanaoijua nchi hii, kiutamaduni, huduma za kijamii, usafiri, recreations, dini, socialization etc! Mnisaidie maana nchi za wazungu sio kama Afrika tunavyojali na kuhudumia wageni.
Karibuni.