Msaada wakuu juzi nilinunua Blackberry 9630 kutoka kwa mmoja wa marafiki zangu lakini kuna matatizo kadhaa yanayonifanya nianze kuzichukia hizi simu
1. nimeinganisha kwenye pc na usb cable ili iingize charge lakini mwisho wa siku nakuta simu inaniandikia BATTERY DRAINED SHUTDOWN
2. Nikipiga simu inasema call fail..
3. Kila muda ina ji restart..
Tafadhali msaada wenu wakuu