Msaada kwa waliowahi kujenga

Asante kwa ushauri mzuri sana yaani umenifaa saaana,sasa naona hata soni kuwatajia ya umeme jamaa alinicharge ndefu sana yaani nikawa nakosa amani,lakini sababu mtu ninafahamiana naye,naona hata aibu kumuuliza but naona jamaa kaniibia kabisa sema tu sitaki kujua maana nitaumia roho sana.
 
Pole sana mkuu, Blundering na kuweka Gypsum always huwa ni kazi moja. Inalipwa kama kazi moja. Kakupiga huyo. Kama bado nicheck nikupe Fundi kwa bei nafuu sana.
 
Watu wanajua makisio sana yaani hatujui ukubwa wa nyumba wala design ya hiyo Gypsum lakini watu tunajua cost ya ufundi !!!!!
 
Pole sana mkuu, Blundering na kuweka Gypsum always huwa ni kazi moja. Inalipwa kama kazi moja. Kakupiga huyo. Kama bado nicheck nikupe Fundi kwa bei nafuu sana.
acha kudanganya watu wewe,ingekuwa kazi moja lakini sio kwa laki 6.atupe vipimo tumpe makisio.ila kama ni nyumba kubwa kufanya gypsum,skimming na undercoat kwa em moja ni sawa
 
Pole sana mkuu, Blundering na kuweka Gypsum always huwa ni kazi moja. Inalipwa kama kazi moja. Kakupiga huyo. Kama bado nicheck nikupe Fundi kwa bei nafuu sana.
Mimi nadhani hizi sio kazi moja inategemea mmepatanaje na fundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…