Muda au kipindi gani nauli ya ndege inakuwa bei nafuu kuja USA,
Mji au STATE gani ni nzuri kuhamia na kufanya kazi(yoyote) Kuosha wazee , kuosha vyombo, udereva, na kazi kama hizo,
Nipo serious,
Nyumba au sehemu ya kuishi mimi na mke inasnzia $ ngapi, kwa anayejitafuta kama mimi,
Umri wangu ni mtu wa makamu,
Kiasi cha chini kabisa cha pesa ya kuanzia maisha huko ni kama $ mgapi,
Nawasilisha. Nipo tayari kuondoka kuanzia September
Nisaidieni
Viza unayo?
Na unayo ya aina gani?
Ahsante sana,Viza unayo?
Na unayo ya aina gani?
Bufa , nisaidie kwanza kupata host, nipo ktk mchakato wa kujaza, lakini bila host naona kama ni tatizo,Ajibu kwanza hilo. Asije kuwa anaulizia step 9 Kabla ya 1.
Viza gani?Ahsante sana,
Nipo ktk kujaza visa, nimeona sharti monawapo ni kuwa na host ndio niijaze vizuri, ndio maana nimeomba msaada kwanza
Da!! Aisee,Viza gani?
Viza haijazwi.
Kwanza unaelewa maana ya viza?
DS 260Viza gani?
Viza haijazwi.
Kwanza unaelewa maana ya viza?
Bufa , nisaidie kwanza kupata host, nipo ktk mchakato wa kujaza, lakini bila host naona kama ni tatizo,
Lakini kwa maswali yangu hapo juu , kama itanipa inf, nitashukuru sana
Ndio Bufa, nimeshinda GCUlishinda green card lottery?
DS 260 ya kuomba viza gani?
Nimeshamjibu ni GCMkuu, unaenda USA kwa visa gani? Umeshinda GC? Maswali ya Infropreneur yana msingi sana.
Ahsante,Kila la kheri
Me mwenyewe ninasubiri muongozo kutoka kwa wazoefu.Ahsante,
Je una uzoefu kidogo huko