Msaada kwa walio achwa tena second selection form v

Msaada kwa walio achwa tena second selection form v

babyyuxuph

Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
80
Reaction score
34
Eti wale tulioachwa tena second selection inakuaje mwenye anafahmu lolote anijuze msaada tafadhali
 
Me nakupa pole tu mutu muzito...
but dont forget to struggle with your condition....!!!
 
dah sawa mkuu ila cnaweza tfta prvte kama kuna anaejua yenye nafac na ada anijuze.shukran wakuu
 
Samahani wakuu mnaweza kuniambia hao walioachwa second selection mwaka2017 ni kwa sababu ipi hapo labd
 
Back
Top Bottom