HII NDO AINA YA WAALIMU TZ TENA HILI LIALIMU LINATAKA DARAJA LIPANDE MWAKA 20015 NDO MWAKA GANI?Ndg wana Jf naomba kujua mimi nimeajiriwa march 20015 lkn mpaka sasa walimu wote tulioajiriwa nao ktk wilaya ya biharamulo hatujapanda madaraja bado tupo c.Je? Na kwa wilaya zingine ni hivyo?