Msaada kwa wale wa UDSM

ozzy isayah

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
489
301
napenda kuuliza wale wa udsm wenzangu eti fomu tunaenda kuchukua chuoni au kwenye mtandao?na jee ni tarehe ngap tunaenda kuzifuata?
 
Hebu ingia kwa web yao they have analysed it clearly...
Kama upo udsm unaweza ukaenda 3weeks before opening date (sio lazima)
Kuhusu ile form ya kucheki afya,unashauriwa uidownload (sio lazima)
Hii ni dondoo tu lkn unaweza kuingia kwa web yao then usome vizuri
 
Form zote kwenye mtandao, admission letter kuanzia 19 September zipo tayari aliye karibu anaweza kwenda kuchukua wa mikoani adi mtakaporipoti.
 
Back
Top Bottom