donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
Wakuu kila nikichomeka chaja kwenye iphone yangu i keep getting this error. Naomba msaada tafadhali
charge feki hiyo ama badili cable
ni charger tu inashida mkuu...nina uhakika asilimia 100...
model? hiyo iphoneKuna muda nikirestart hua inakubali
sawa inaonesha system charge ina shida ama cable, tafuta 6 yenye icloud ubadilishe hiyo system yote ya kucharge, bei kwa 6 zenye icloud haizid 50 huku nilipo nazani hata huko ulipo bei ni hiyohiyo