Msaada kwa wadau wa Miss Lake zone 2016

Msaada kwa wadau wa Miss Lake zone 2016

Deepro

Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
63
Reaction score
54
Heshima kwenu..!
Nliwahi kutazama kipindi flani kwenye tv kipindi waliokuwa washiriki wa miss Lake zone 2016 wakiwa kambini.
Kuna mdada mmoja alikuwa na lafudhi ya kichina yaani anavyoongea kama mdada wa kizungu au kichina hivi..!
Sijui alishika nafasi ya ngapi kwani kipindi hicho nlikuwa nje ya nchi na sikuwa mfuatiliaji sana wa shindano hilo.
Naomba mwenye kumjua mdada huyo au kama yeye mwenyewe yupo humu Jf naomba ani PM namba yake.
Au mwenye uwezo wa kunisaidia contact zake ani Pm
Natanguliza shukrani.!
 
Hako kadada jina limenitoka kidogo ila kama sikosei kwao ni Arusha.
Ngoja nimuulize mdau mmoja hivi then ntakuPm.
 
Hata Mimi namuhitaji munipe namba yake nijaribu bahati maana kama atakutosa asibaki mpweke aje kwangu.
 
Kale kadada kana kisura flani hivi amazing..!
Kanaongea dizaini kiswahili cha lafudhi ya kichina namjua kipindi yuko chuo kabla hajaingia kwenye mambo ya umisi.
Ila nasikia hakushinda miss Lake zone na inasemekana yupo Dar.
 
Back
Top Bottom