Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 654
- 975
Hapana mkuu hatumii madawa,Anatumia madawa ya kulevya? Kama jibu ndio mpeleke milembe na Kama jibu hapana mpeleke apate tiba asili
Ana umri gani, anafanya shughuli gani yamkini kapata ajali kichwa kimepata misukosuko?Amani iwe kwenu,
Nina ndugu yangu amepatwa na tatizo la kuweweseka, kuona vitu visivyo na uhalisia (hallucinations). Kuna muda anakakamaa mwili hadi inapelekea kuanguka kama mgonjwa wa kifafa.
Tafadhali mwenye kujua sababu na aidha matibabu yake anaweza kushare hapa. Tatizo limemuanza juzi usiku tar 20/9/2023.
Ajibu hili tumpe a way forward.Ana umri gani, anafanya shughuli gani yamkini kapata ajali kichwa kimepata misukosuko?
Ana umri gani, anafanya shughuli gani yamkini kapata ajali kichwa kimepata misukosuko?
Pole sana, japo bado naomba tusaidie jinsia yake ni Me/Ke?34yrs, ujasiriamali kuhusu kuumia kichwani hapana Wala Hana rekodi ya ajali past 10yrs
Hilo Sina uhakika maana sikai naye karibuhajaiba?
Bangi Haina uhusiano na kukakamaa hata uvute miaka buku!!Kama ni wa kiume anzeni na kuchunguza kama aliwahi kuvuta bangi, kama hapana basi rudini kwenye lifestyle yake pengine ana overstress inayopelekea deperssion ambayo ni rahisi mtu kuwehuka.
Sukari kupanda sana au kushuka sana huweza kusababisha tatizo hilo. Jaribuni kufanya blood glucose monitoring. Vilevile nendeni hospital kwa kitendo cha afya ya akili kama ikigundulika hakuna tatizo basi jaribuni kugeukia upande wa pili inaweza kuwa kanisani, msikitini au kwa waganga wa kienyeji.Amani iwe kwenu,
Nina ndugu yangu amepatwa na tatizo la kuweweseka, kuona vitu visivyo na uhalisia (hallucinations). Kuna muda anakakamaa mwili hadi inapelekea kuanguka kama mgonjwa wa kifafa.
Tafadhali mwenye kujua sababu na aidha matibabu yake anaweza kushare hapa. Tatizo limemuanza juzi usiku tar 20/9/2023.
Naungana na ww kama ni mnywaji wa pombe hasa pombe kali basi Sukari hushuka sanaSukari kupanda sana au kushuka sana huweza kusababisha tatizo hilo. Jaribuni kufanya blood glucose monitoring. Vilevile nendeni hospital kwa kitendo cha afya ya akili kama ikigundulika hakuna tatizo basi jaribuni kugeukia upande wa pili inaweza kuwa kanisani, msikitini au kwa waganga wa kienyeji.
Ila wasiwasi wangu huyo bwans kwa umri wa 34 ana sukari ya kurushiwa.