Msaada kwa simu yangu

YAKUTA

JF-Expert Member
Aug 11, 2013
405
168
Ni tecno y3+ ina-stuck mara kwa mara
Nimejarib kufupunguza baadhi(hasa apps) nikaflash na kufanya factory reset lakin bado nzito

Inaniletea jumbe hizi
Screenshot_2018-09-17-18-51-24.jpg
Screenshot_2018-09-17-18-13-36.jpg
Screenshot_2018-09-17-18-38-43.jpg
Screenshot_2018-09-17-18-45-13.jpg
 
nilipata kua na tekno, ikaniletea upuuzi dizaini hii hii nikaivunjilia mbali
 
Kwa wajuz na mafundi wa sim hasa upande wa software msaada plzz.
Njia pekee ni kuiFLASH na clean rom. Imesha corrupt.

Cha kufanya kama unaweza ingia setting alaf nenda about ukaangalis BUILD NUMBER

Then download suitable ROM as per your build number.

Pia hiyo simu inaingiliana ROM na Y2 so unaweza flash ya Y2 pia.

Pia kipindi unaflash fanya usiflash PRE LOADER likitokea tatizo unaweza ua simu.

Case2: tatizo kaa hili pia linatokea kwa Y3+ nyngi na chanzo inakuA ni damaged EMMC chip. Hivyo inaweza isiflashike kabisaa au isipone kabisaaaaa.
Solution: change circuit tu.
 
Pamoja mkuu
Thou umeongea lugha ya kitaalam sana

Sijui hawa mafund wetu wa mtaan wanajua haya
 
kwan tecno nazo ni cm . natumia infinix hot s3 , huwez kuta hayo madudu ya isn't responding
 
kwan tecno nazo ni cm . natumia infinix hot s3 , huwez kuta hayo madudu ya isn't responding
Tecno , Itel na Infinix ni ndugu moja . Zote ni kampuni moja kama hujui.

Sasa wewe wa infinix kucheka tecno ni kichekesho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom