Note 2 yangu, haifungui code mbalimbali za mitandao ya kijamii. Kwa mfano, ninatumia laini ya tiGO lakini nikitaka kununua vifurushi(nikibofya *148*00#) haifungui. Inakubali code hizi zifuatazo, *102# na *102*02#, zingine zote hazikubali. Mwenye ujuzi juu ya suala hilo ninaomba anisaidie.