Msaada kwa rooting experts......!!!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
13,518
2,000
salam wakuu,
i've recently acquired a chinese droid device which runs 4.2.2 na nahitaji kuifanyia rooting. nimejaribu kuinstall framaroot but i wasnt succeful. nifanyaje wakuu? pia apps kama bbm zinagoma kuingia inaniambia incompartible device wakati bb ina f(x) kwenye all devices running from oS 4.0
 
traceman

Senior Member
Dec 28, 2013
148
0
Hapo kuna kazi kweli. Kama ni clone ya original huwa kazi kuroot.
Ni aina gani ya simu? Labda?

Sent from my SM-N900 using Tapatalk
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,616
2,000
salam wakuu,
i've recently acquired a chinese droid device which runs 4.2.2 na nahitaji kuifanyia rooting. nimejaribu kuinstall framaroot but i wasnt succeful. nifanyaje wakuu? pia apps kama bbm zinagoma kuingia inaniambia incompartible device wakati bb ina f(x) kwenye all devices running from oS 4.0

framaroot ina option mbili...ikigoma moja kuna kuchagua ya pili
sijui umenotice hicho kitu
 
Masayi77

Member
Apr 23, 2012
61
0
salam wakuu,
i've recently acquired a chinese droid device which runs 4.2.2 na nahitaji kuifanyia rooting. nimejaribu kuinstall framaroot but i wasnt succeful. nifanyaje wakuu? pia apps kama bbm zinagoma kuingia inaniamb
ia incompartible device wakati bb ina f(x) kwenye all devices running from oS 4.0

Ni pm au nitafute kwa whatsapp 0784637753 inawezekana mi nimeroot clone s4 mini
tena rahisi mno
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,733
2,000
kaka how can u tell frm a pure droid to fork droid

forked one inakuwa wametumia android lakini wameibadilisha sana kiasi ambacho inakua hata compability inapotea. nimesema haya sababu umesema bbm inakataa.

japo fork inamaanisha mambo mengi kwenye coding ila kwa wewe unaweza ukaangalia os ya amazon ambayo wameeka kwenye kindle fire ule ndo mfano wa forked android.

ila pia inaweza ikawa hio rom ya simu yako ni ya gingerbread 2.3 halafu wameicustomize tu ionekane kama 4.2 niliwah ona hii case kwenye tecno n3 na p3
 
kwa mfano mwanzon hata instagram ambyo ni latest (v 5.0.2) ilikua nikijarib kudownld kwenye playstore inasema incompatible app ila nlichofanya nkadownload apk ya version ya nyuma kidogo then nka install na kupdate ikakubali
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,733
2,000
kwa mfano mwanzon hata instagram ambyo ni latest (v 5.0.2) ilikua nikijarib kudownld kwenye playstore inasema incompatible app ila nlichofanya nkadownload apk ya version ya nyuma kidogo then nka install na kupdate ikakubali

jaribu basi bbm+ ni apk tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom