jamani simu yangu nokia n70 inanichanganya sana maana siwezi kuandika wala kusave message,inaleta ujumbe memory low delete some data first,cha ajabu nimeshafuta vitu vingi sana lakini bado vilevile,msaada wenu please!
1. Unafuta data za memory card wakati inayotakiwa kua freed ni memory ya simu
Ushauri: nenda file manager futa vitu vya phone memory
2. Kuna application zinafanya kaz underground zinamaliza ram
Ushaur download task manager angalia application za background then go to application manager zi un install
3. Simu ina virusi vya kichina vinavyojaza memry
Ushaur i scan kwa pc kujua

brother hilo swala la 3 nakubaliana nalo kabisa,sababu nimeshafuta application zote nilizozifanyia installation lakini hakuna kitu.thanks sana bro nita try kuiscan kwenye pc
Ina virus na hata ukiscan kwa pc huwa n70 haifai. Mine ilikuwa inasumbua ivyo ivyo bt after smtime inakuwa normal. Fanya udownload norton kwa ajili ya cm! Pole mwayego!
b4 u scan on pc, do thc ingza hz code *#7780# note. Uwe unajua general pcwrd za cm yako eg. 1234 bcoz cant rstr wthout pcwrd, zkshndkana hzo tell nkupe baab kubwa hzo ztakuwa final try that fst
b4 u scan on pc, do thc ingza hz code *#7780# note. Uwe unajua general pcwrd za cm yako eg. 1234 bcoz cant rstr wthout pcwrd, zkshndkana hzo tell nkupe baab kubwa hzo ztakuwa final try that fst
huwezi kuamini kama braza yaani sasa kila kitu safiii kabisa we ni bonge la genius bro,thanks kwa msaada wako,sijui bila jf ningepata wapi msaada kama huu,jf daima idumu.thanks all