Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Dec 18, 2012 #1 Wakuu nina Nokia 110 nina Application karibu zote za Internet. Kama Nokia Browser, Ebuddy, Nimbuzz na Operamin. Tatizo langu sina huduma ya Whatsapp. Je, inawezekana kuipata hiyo huduma na kuweza kuituma kwenye simu yangu?
Wakuu nina Nokia 110 nina Application karibu zote za Internet. Kama Nokia Browser, Ebuddy, Nimbuzz na Operamin. Tatizo langu sina huduma ya Whatsapp. Je, inawezekana kuipata hiyo huduma na kuweza kuituma kwenye simu yangu?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,414 Dec 18, 2012 #2 haiwezekani mkuu kwa hio simu
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Dec 18, 2012 Thread starter #3 Thanx mkuu! chief-mkwawa said: haiwezekani mkuu kwa hio simu Click to expand...