Kama huo ni mtaji bado ni mdogo,ila unaweza kuchukua mzigo kwa wafanyabiashara wakubwa wewe ukawa unauza reja reja tu; Ukitaka ujue 7M ni ndogo kwa hesabu za harakaharaka unaweza pata simu kumi tu kwa hiyo nakushauri usifanye safari kama unaitegemea hiyo kama mtaji.