Msaada kwa mwenye utaalamu huu.

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
322
Naomba kufahamishwa kwa wenye utaalam huu wa namna ya kuiunganisha (kuset) namba ya simu ya mtu ili mesej zikitumwa kwake zipitie kwangu au kama kuna uwezekano wa kunasa na kusikiliza maongez yake wakati akipigiwa itafaa zaidi.mwenye ujuzi jaman tafadhali anijuze hata kupitia PM nataka kumshika mgoni wangu.
 
Utakufa kwa presha achana na hiyo habari.....!!
 

Huo unaitwa UDUKUZI
 

Kama ushamjuwa mgoni wako sasa unataka nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…