Msaada. Kwa mwenye ujuzi wa kufunga ving'amuzi

Msaada. Kwa mwenye ujuzi wa kufunga ving'amuzi

Kiti Chema

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2017
Posts
1,793
Reaction score
1,968
Habari wana jamvi. Kama kichwa uzi kinavyo jieleza, nilikuwa naomba msaada namna ya kufunga ving'amzi hata ikiwa aidia tu au maelezo mafupi ya namna yakufunga ving'amzi. Napenda sana hiyo fani.
 
We acha tu jana nimetoka startimes kueleza shida ya icho kidubwasha ....naambiwa nibadili waya uwe mweupe na si mweusi na antena iwe ya kwao maana nimelipia ila kinaniambia hakijalipiwa ila sasa cha kushanhaza ikinuesha MVUA kubwa naona.
 
Tena ving'amzi vigumu kwa kufunga nivya ster times
 
hakuna king'amuzi rahisi kufunga kama startimes maana beam yao imetapakaa mno, cha msingi uwe unajua unachokifanya
 
hahahaaa..hyo kazi sihitaki tena.
unafunga Leo kesho unaitwa.
dish limeyumba na hela ushakula.
nimeiacha Mimi.
 
Unafunga king,amzi kipi Dish au Antenna
Pia Ni Aina gani ya king,amzi?
 
king'amzi cha dishi aina ya star times
Hicho mpaka uwe na mtu wakukuelekeza karibu

King,amzi Cha startimes lazima udownload kwanza Kama bado kipya
Kwa toleo la lile la rangi nyeusi

Kwa rangi nyeupe niuweka na kuanza kutafuta signal
 
Back
Top Bottom