gubwe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 299
- 131
Wadau naomba mwenye kukifahamu vizuri hiki chuo anisaidie coz nahitaji kujiunga ila nahitaji nifaham vitu vichache kabla ya kujiunga, kwanza nilikua naomba fahamu Teaching Method yaan lecture anaingia class kama vyuo vingine au hapo ni tofauti?, Pili ukishalipa Tuition fee maana yake ni lecture kuingia class tu na kupiga vipindi au lecture unamlipa private na kama private gharama zake zikoje!!
Naomba kuwakilisha.
Naomba kuwakilisha.