Msaada kwa mwenye operation system ya kali linux au Linux ya kwenye PC

Jackpiano

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2025
Posts
531
Reaction score
651
Habarini wakuu

Naomba msaada wenu, nahitaji kupata OS ya Kali Linux au toleo lingine la Linux kwa ajili ya PC yangu. Ningependa nijifunze zaidi kuhusu cybersecurity na command line tools, lakini sijui ni wapi salama pa kudownload na jinsi ya kuiweka.

Kama kuna anayejua sehemu salama ya kudownload (labda link rasmi), au kama kuna mtu anayeweza kunisaidia kuinstall, nitashukuru sana.

PC yangu ni[ hp RAM 2]

Pia kama kuna thread tayari ina maelekezo, naomba mnisaidie link.

Asanteni sana
 
Bonyeza hapo juu option ya kwanza imeandikwa "Installer images-Recommended" then itaji scroll down utaona kimshale cha download na neno 4.1GB chagua hicho.

NB: Setup ina GB 4.1 bando lako tu Mzazi.
 
Aaah maana muhimu sana hii pia si inaweza kufuta firmware za simu na password
 
Habarini wakuu

Naomba msaada wenu, nahitaji kupata OS ya Kali Linux au toleo lingine la Linux kwa ajili ya PC yangu. Ningependa nijifunze zaidi kuhusu cybersecurity na command line tools, lakini sijui ni wapi salama pa kudownload na jinsi ya kuiweka.

Kama kuna anayejua sehemu salama ya kudownload (labda link rasmi), au kama kuna mtu anayeweza kunisaidia kuinstall, nitashukuru sana.

PC yangu ni[ hp RAM 2]

Pia kama kuna thread tayari ina maelekezo, naomba mnisaidie link.

Asanteni sana
Ila nakushauri ukitaka kuenjoy kali Linux angalau pc yako iwe na ram 8 na proce..core 3i
 
Kuhusu ubuntu nayo os yake kwa begginers inafaa?
 
Wakuu Na mwenye link ya ubuntu atupie umu ili niweze kuipata kirahisi
 
Mtwara mgombea wa CCM alisema. Unipigie kura usiponipigia mimi napita kwa 100%. Yule jamaa alipita
Hivi kwa akili yako, Babu Tale anaweza kushinda ubunge?
Kwa nini asishinde kama anakubalika?Usipomkubali wewe kuna wengine wanamkubali.Ondoa shaka twende uwanjani oktoba
 
Back
Top Bottom