John abruzzi
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,461
- 3,482
Shikamooni wakubwa zangu.
Mimi ni kijana wa miaka kumi na tisa msingi kidato cha 6 mwaka huu mchepuo wa pcm.Iwapo kama mtihani wa kidato cha 5 ungekuwa ni necta basi mi ningesha jipatia div 3 huko japo sio malengo yangu na naamini pia sio uwezo wangu. I believe am better.na sijakata tamaa.i believe in the remaining one year I can make changes. lakini mtihani wa mwezi wa Desemba mwaka jana sikupata matokeo mazuri pia na nikajitahidi kufanya vizuri mwaka huu.
I considered reasons behind my failures but the same happened this year that is lack of cooperation with my class mates together with others.In spite of knowing reasons for my failures I come to ask for your advice so I can know more concerning my problem from you.
I bought many books but they keep on helping my fellows who borrow to me.i need an advice from you from any who passed through the same situation am passing through cause kwenye mazingira nayoishi hakuna wasomi ambao ningeweza kuwaeleza tatizo langu.
I put forward my thanks to all that will advise me here and God will bless you