Msaada kwa mkewe umesababisha kero kubwa

Mtu B,

Ulijaribu kumdadisi huyo "Kaka" yako kama naye ni "mwanaume wa shoka"? Maana mwanamke kuishiwa hamu inategemea kwa kiasi KIKUBWA na mwanamume. Mwanamke yeye anahitaji kuwa "switched-on" kwa vyovyote vile kama mwanaume anasubiri mwanamke ndiye aanze huwa ni vigumu sana.

Kama ulivyosema ni mlokole fulani and so I doubt kama huyo "kaka" haya mambo yanamjia vizuri akili

Wako pamoja zaidi ya miaka 10, na kwa muda mrefu anadai walikuwa wanafurahiana vizuri hadi mkewe alipoanza kupungukiwa hamu taratibu. Siku zote hizo huyo bwana ndiye aliyekuwa anajaribu kum-switch on kama unavyosema, na kwa miaka waliyoishi pamoja unaweza kuelewa wamejaribu mbinu nyingi sana. Lakini kuna wakati ulifika ikawa hakuna namna yoyote ya kumfanya apende tendo hilo, yaani alikuwa hajisikii hata kidogo hata akifanyiwa nini. Ndipo ilipofikia kupata dawa hiyo na haya tunayojadili hapa.
 
Mambo si haya !!! jamani na mie nahitaji sana hiyo dawa naomba msaada naipata vipi???
 
Back
Top Bottom