Mambundamu
Member
- Jan 4, 2019
- 66
- 63
Pole ungeweka naMBA zakoHabari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au kama mtu anaweza nisaidia ticket au nipande hata IT maana niliyopitia hayaelezeki natamani kurudi Leo ama kesho hii Simu sio yangu ni ya Mjumbe maana nipo kwake kwa sasa Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ungeweka naMBA zako
Habari za asubuhi waungwana Mimi ni binti Mwenye umri Wa miaka 20 kutoka Mbeya ila kwa sasa Niko Dar nilikuja kwajili ya kazi niliitwa na mama yangu Wa kambo nimepitia maisha ya unyanyasaji sana hivyo nmeamua kurudi nyumbani Mbeya na sina hela msaada ninaohitaji ni lift ya gari hadi mbeya au kama mtu anaweza nisaidia ticket au nipande hata IT maana niliyopitia hayaelezeki natamani kurudi Leo ama kesho hii Simu sio yangu ni ya Mjumbe maana nipo kwake kwa sasa Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
ID kama hizi ni kupiga lifetime ban
Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha Hahahaha umemuumbua mataperi yako had jamiii forum? Khaaaaaa
Aisee hatari
Hii Simu ni yangu Mimi hapa Mjumbe binti ameondoka na wife kwenda church mda si mrefu umeshindwa kuelewa topic Mkuu yeye a naomba asaidiwe lift au kama kunamtu anaenda huko Mimi nmempa msaada Wa kumuondoa hapo alipokuwa anakaa