Msaada kwa mdau juu ya hili

Mwambie rafikiyo aanze kuhudhuria clinic na huyo bidada no msamaha hapo!
 
Kama hamtaki mimba acheni uzinifu...tuone kama zitaingia kwa njia ya hewa

sio uzinifu tu unaoleta mimba hata ndoa za halali zinaleta mimba tena nyingi kuliko za uzinifu sasa nafkiri ulimaanisha ngono au???
 
Mnaamini vp watu na kwenda nao kavu kavu
 
ivi microscope haiwezi kumsaidia kuziona izo siku zake?
 
sio uzinifu tu unaoleta mimba hata ndoa za halali zinaleta mimba tena nyingi kuliko za uzinifu sasa nafkiri ulimaanisha ngono au???

Kwani inayoongelewa hapa ni ndoa ya ndoani au ya nje ya ndoa? Af umesoma toka mwanzo au umerukia tu?
 
sio uzinifu tu unaoleta mimba hata ndoa za halali zinaleta mimba tena nyingi kuliko za uzinifu sasa nafkiri ulimaanisha ngono au???

Mkuu angekuwa ndoani asingeomba ushauri juu ya mimba mkuu.....
Mwanaume aliyeoa hawezi changanyikiwa kisa eti mkewe haoni siku.

Tunachanganyikiwa sisi viruka njia tuuu...na ndomaana Dada akasema uzinzi maana ngono(sex) ktk ndoa ni tendo takatifu lakini nje ya ndoa ni zinaa aka uzinzi.
 
Yaani kutoka siku ya kwanza akala Tunda bila hata protection ???

Kweli binadamu hatujipendi hasa tunaogopa mimba kuliko hata maradhi
 
Yaani kutoka siku ya kwanza akala Tunda bila hata protection ???

Kweli binadamu hatujipendi hasa tunaogopa mimba kuliko hata maradhi

Yaani akili ya mwanaume huwa haipo tena kama kajamaa katachachamaa
 
Afadhali umeelezea mkuu mi nimeona hata uvivu kuandika yote haya
 
siongelei aliyeomba ushauri nazungumzia ushauri alioutoa khantwe na ukumbuke sio kila wanandoa wanataka watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…