Msaada kwa mdau juu ya hili

laini kwa jinsi ulivyoandika ni waz sio rafiki yako n ww mwenyewe

No ts just that am good ktk kufikisha ujumbe kama nilivyopewa...
Kwa kuandika pia am good ndomana unaona kama ni mm kumbe nimevaa viatu vya mtu...
Na hii ndio kazi ya sanaa na fanani
 
ARV zimewatoa watu akili kabisa....no fear coz watu wanaonekana na afya zao kabisa...
BTW, amevuna alichopanda, akubali matokeo, asikimbie majukumu...kama aliona hayupo
tayari kwa majukumu angefanya mapenzi salama.....

Hatari sana
 
No ts just that am good ktk kufikisha ujumbe kama nilivyopewa...
Kwa kuandika pia am good ndomana unaona kama ni mm kumbe nimevaa viatu vya mtu...
Na hii ndio kazi ya sanaa na fanani

owh kumbe hongera
 
Boo dinda akli potea.......alifanya ngono zembe na hayo ndo matokeo,amchukue bidada wakapime hospital kama ipo aanze kliniki mapema tu,alee tu hiyo mimba na mtoto labda ndo Pinda wa badaye.
 

dah>>>inaonekana jamaa alijilipua...yani deme first time unauza mechi kavukavu.tutakufa wengi
 
Wakati wanakatikiana walimuomba nani ushauri??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…