Nina iPhone tajwa hapo juu Ila nikitaka kudownload hata free application Kama whatsapp, fb au jf inaniambia requires ios 4.1 sasa apo sielewi hii ios una upgrade vipi na mwenye ujuzi jins ya kuona hii ios iliyopo ni ngapi anijuze. Thanks in advance
mkubwa ios 6.1.3 inaSupport kwenye iPhone 3GS! hata kama sio factory unlocked anaweza kuUpgrade firmware kwa kuPreserve BaseBand or otherwise kuweka iPad baseband ili kuUnlock..Applications nyingi zinahitaji atleast ios 4 hivyo ni muhimu kuUpgrade. latest firmware kwa iPhone 3G ni IOS 4.2.1..Dont upgrade ur iphone if its not factory unlocked.You will lose ur unlock and baseband shall b changed.THEN...u ll..look 4me! Ios 6.1.3 doesnt support iphone3g/gs.I wud use itoolz and just upload any ios apps to the ifone
ni muhimu kuwa na atleast ios 4 kwenye iPhone yako. unaweza ukaUpgrade mwenyewe au ukamtafuta mtu mwenye uzoefu zaidi. steps ni hizi....Nina iPhone tajwa hapo juu Ila nikitaka kudownload hata free application Kama whatsapp, fb au jf inaniambia requires ios 4.1 sasa apo sielewi hii ios una upgrade vipi na mwenye ujuzi jins ya kuona hii ios iliyopo ni ngapi anijuze. Thanks in advance







Press OK.


