wana jukwaaa habari zenu!
ndugu zangu ebu naombeni msaada wenu kinaga ubaga kwa hili. kuna binti wa kiarabu nampenda kweli yani nataka nimnase kwenye satilete zangu lakini hayupo kabisa kweli rada
huyu binti mara ya kwanza nafahamiana nae alikua very charming hadi akanipatia namba zake na kiukweli ndani ya wiki kama mbili tuliwasiliana vizuri tu!
tatizo lilikuja baada ya mimi kupoteza simu yangu na namba nikabadilisha nikampoteza kwa miezi kama mitano, sasa nimepata namba yake tena lakini nikiwasiliana nae naona hayupo active kama kipindi cha nyuma, natumia energy kubwaa kumjilia hali hadi najiuliza nilikosea wapi, yani sielewi kwanini ananitolea nje saivi
sasa wakuu ebu naombeni msaada wenu hapa, nimu active huyu binti wa kiarabu anase, anielewe mazima
mapenzi haya jamani, sio upumbavu