Habari za jioni viongozi na poleni kwa majukimu.
Ninaomba msaada kwa yeyote anaefahamu wapi naweza pata hivyo vitu ainishwa hapo kwenye picha.
Mimi ninapatikana Dar es salaam,Tanzania.
1.Siemens Logo Programming cable.
2.Pc to Mpi adapter kwa ajiri ya Lower siemens plcs (S 200, S 300 etc)