Msaada kwa hili

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
Jaman naomben msaada kwa hili swala,
nmekutana na computer takriban kama tatu hv Zinaonyesha vivuli ktk icon za kwenye desktop (yaan program zote zinakuwa highligted)
so any help namna ya kutoa hvyo vivuli!
 
Mimi mwenyewe niliwahi kuona tatizo hilo lakini nahisi lilitokana na vizuri kwa kuwa mwenye computer alikuwa haijali kivile na wala hakuwaàna update antivirus yake
 
Mimi mwenyewe niliwahi kuona tatizo hilo lakini nahisi lilitokana na vizuri kwa kuwa mwenye computer alikuwa haijali kivile na wala hakuwaàna update antivirus yake

lilitokana na vizuri?
Kvp mkuu ka sijakusoma hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…