Mama mkwe wa kizazi cha dotcom huyo; hajali cha mila wala nini!
Watakuwa walikuwa wanaongea, au mkeo huenda anaumwa au vyumba vingine si vizuri kama chako!
Anyway, ipotezee yeye ndiye aliyepaswa kuona aibu sana, kama haoni then kuna hatari mbeleni, hukawii kumkuta peke yake chumbani kwako next time! Sio wangoni hao?