salumu mitema
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 241
- 82
Wadau mi naomba mnisaidie malink ya kupakua magame
nenda torrent kasearch game yoyote unayotaka utaipata na crack zake!!!1
game za nn playstation (psp),PC,phone?
nimeweka link mkuu kule kwenye thread ya far cry 3.ila kwa faida yaki hii hapaasante lakini si unajua kaka si wengine wavivu ?kama vp niwekee link ya game ya far cry 3.pls