Salam wakuu,
Leo usiku wakati nampa mbwa wangu (6months puppy) chakula amekua hajachangamka (mnyonge), halafu kala chakula kidogo tu akaacha.
Ningependa kufahamu kwa wataalam je, atakua na shida gani? Namfungia kwenye banda nje. Nimefikiri labda hali ya hewa (mvua+baridi) inaweza ikawa ni shida. Je, tatizo nini wakuu?
Naomba msaada kwa mtu anayefahamu au anayeweza kunilink na mtaalam wa mifugo nitashukuru.