isaacsendama
Member
- Feb 21, 2016
- 76
- 21
Naomba kufaham ni course gan naweza kusoma inayoendana na hyo comb ya HGE?msaada kwenu jamen niko njia panda kbsa, ushauri wenu ni muhmu sana kwangu kwani utanifnya kuwa na chaguo zuri
Hiyo HGE 'E' hapo ni English au Economy??HGE tahasusi nzuri sana

Nashukuru Sana mkuu,but vipi nikipata S ya Bam naweza kusoma hyo BAEST?BAE, bachelor of art in economic
BAF, bachelor of art in finance
BAEST, bachelor of art in economic and statistics, kama BAM, ulifaulu vzur
BAED, bachelor of art with education, (najua watakuponda kwan ni ualimu wa art)
Bsc ANEB, bachelor of science in agricultural natural resources and business (udsm)
Ahsante Sana, nasubir resultsCourse yoyote ya finance ,accounting, commercial, ardhi utasoma
Aya nenda shule
Sometimes wanachukuaga matokeo hata ya o level ya B/math sasa chunga Sana kutaka kusoma course zenye kuhitaji matokeo ya hesabu either ya o level or Advance ikiwa o level uko na "F" kupata "S" ya B/Math A level sio kitu kidogo ndugu yangu sababu ni nyembamba sana kwanza hilo somo ni subsidiary na hapo hapo uko na Economics 1&2 plus Geography 1 Kama huna foundation nzuri ya Geo itakuwa ngumu kdgo kupata muda mwingi wa kufanya hizo math hapo bado History 1&2Nashukuru Sana mkuu,but vipi nikipata S ya Bam naweza kusoma hyo BAEST?
Sio English wala "Economy", ni Economics.Hiyo HGE 'E' hapo ni English au Economy??![]()
Acha unafki, badlikaKwa hyo HGE labda ukasomee vundi viatu veta
Inxhallah!!!!kuhsu O-level ckuwa na xhda Sana kwenye upnde wa B/math xhida iko Advance BAM ckutmia mda mwng xana kuixoma Kwan nilkuwa natumia concept za OlevelSometimes wanachukuaga matokeo hata ya o level ya B/math sasa chunga Sana kutaka kusoma course zenye kuhitaji matokeo ya hesabu either ya o level or Advance ikiwa o level uko na "F" kupata "S" ya B/Math A level sio kitu kidogo ndugu yangu sababu ni nyembamba sana kwanza hilo somo ni subsidiary na hapo hapo uko na Economics 1&2 plus Geography 1 Kama huna foundation nzuri ya Geo itakuwa ngumu kdgo kupata muda mwingi wa kufanya hizo math hapo bado History 1&2
But any way when others factors remain you can mzee
Kuandika penyewe ni zero then unajitia kiburi wakat kichwan huna kituKwa hyo HGE labda ukasomee vundi viatu veta
Umeuelewa vzr huo uzi au unajibu tu pasipo kufkiria mkuu?Nenda Egm
Huko unakotaka kupita mi nilishapita kitambo hivyo naandika kwa uzoefu... Kama unataka kupata coz za maana chuo nenda Egm.Umeuelewa vzr huo uzi au unajibu tu pasipo kufkiria mkuu?
Sasa mkuu nitaendaje EGM wakat mm ni mhitimu wa kidato cha sita tyar kwa hyo Comb ya HGE na ndo maana naomba ushauri ni kozi gani nikasome au unamaanisha nirudi tena xhule nikachukue hyo EGM?Huko unakotaka kupita mi nilishapita kitambo hivyo naandika kwa uzoefu... Kama unataka kupata coz za maana chuo nenda Egm.
Kingine acha dharau na maneno ya shombo hapa unataka ushauri na ushauri ni chochote na uamuzi ni wako kuufanyia kazi ama laa, acha dharau