Msaada kwa chuo Cha mzumbe

Msaada kwa chuo Cha mzumbe

Dorah87

Member
Joined
Aug 23, 2022
Posts
20
Reaction score
7
Samahan kwa wenye ujuzi nafanyaje make nilirudia kuomba second selection chuo cha mzumbe Sasa leo metumiwa sms kuwa niingie kwenye account Kuna information za kuwork on sa nilivoingia sijaelewa nafanyaje meandikiwa hivi

Screenshot_20220908-174445.png
 
Uliapply Chuo chengine na ukaconfirm sasa hapo wanataka ucancel ili uwe admitted Mzumbe at your own risk. Kwa maelezo zaidi slide kwa dm
 
Yes, Kwamba akatae nafasi alioikubal uko chuo kimgine ili Huku mzumbe wamfikirie lakini ajue anaweza akakosa so ni maamuz yake achague patapotea, Washenz sana nakushaur achana nao Mzumbe usije ukakosa vyote.
 
Dah na mm ndo nilivoelewa hivolakn Sasa hamna chuo nilichochaguliwa dirisha la kwanza ndo niliamua kurudia la pili Sasa nashangaa wanavoniambia Ivo meshindwa kuelewa an
 
Yan drisha la kwanza sikuchaguliwa vyuo nilivokuwa meapply sa nikarudia dirisha la pili lakn nashangaa wananitumia hivi
 
Dah na mm ndo nilivoelewa hivolakn Sasa hamna chuo nilichochaguliwa dirisha la kwanza ndo niliamua kurudia la pili Sasa nashangaa wanavoniambia Ivo meshindwa kuelewa an
Angalia vizuri kwenye admission account zako za vyuo ulizoapply unaweza ukawa selected, system za udahili za vyuo zinacommunicate na system ya TCU hivyo ukiomba chuo chengine itaonyesha uko selected
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom