msaada kwa blackberry torch na bbm

ngarambe

Senior Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
100
Reaction score
14
Nimedownload bbm kwenye cm yangu lakini cjui kuchat wala kufanya chochote,,,,, zaidi naishia tu kwenye facebook..... Naomba msaada maanacjawahi kuchart wala kutumia bbm......tafadhali sana nisaidieni
 
U must add frds using piN ,, chatin inakua kawaida tu kama watsapp !!!!
 
hapo ni lazima utafute mtu mwenye bb massenger kama wewe kisha umu add au yeye aku add kwa pin no ili muweze kuwasiliana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…