Msaada kwa anayejua kuunganisha hili kabati

Kweli tuacheni dharau jamani,...kwenye maisha hatufanani,..
 
Mkuu unae busara sana,hebu agiza maji ya kunywa chupa kubwa ya baridi nitakulipia,...ndio uwezo wangu unaishia hapo kwenye maji tu
 
Vyema sana mkuu. Kwa kuongezea, wakati Mulhat anakula milo mitatu kwa mboga saba, wapo wenzie wanakula mlo mmoja na dagaa akinabadilisha kala ugali na kisamvu. Tuheshimu maamuzi ya watu, tuache majivuni kwa kuwapima watu kwa uwezo tulionao.
Na wewe pia agiza maji madogo bariid kabisa nalipa Mimi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…