Msaada kwa anayejua kuondoa haya matangazo

Msaada kwa anayejua kuondoa haya matangazo

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,647
Reaction score
4,495
Kwenye simu yangu na app ya bet pawa nikifungua tu hiyo app kuna tangazo linakuja yani siwezi kubet kabisa paka liondoke linachukuwa muda sana naomba msaada kama kuna njia ya kulizuia ilo tangazo
Screenshot_2019-10-01-10-07-54.jpeg
Screenshot_2019-10-01-10-07-38.jpeg
Screenshot_2019-10-01-10-07-03.jpeg
 
Acha kutumia Apps za bure. Unavyotumia apps za bure ndio unalipa kwa kuangalia matangazo
 
Back
Top Bottom