mteule senior
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 296
- 197
Poleni na majukumu wakuu. Mungu ni mwema kila wakati..
Kwa wale walio kazini nafikiri watakuwa wanajua kuwa, mtu aliyesoma degree tofauti kwa mfano katika Elimu anaweza akafanya Postgraduate Diploma in Education na akaajiriwa kama mwalimu sawa na yule mwenye Bachelor of Education.
Sasa kwa mfano, mwajiriwa alisomea degree tofauti na Computer Science kwa mfano, na akafanya Postgraduate Diploma in Computer Science, je anaweza kufanyiwa recategorization na kutambuliwa sawa na yule aliyekuwa na Bachelor ya field husika? Maana nasikia kwa upande wa masters tofauti na degree ya kwanza haiwezekani
Naombeni uzoefu wenu kwa wanaojua suala hili