Msaada kwa anayejua hii kitu!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Naomba wanabodi kunijuza jinsi ya kuweka Audio clip (mfano kuweka mziki wasauti tu,usiokuwa wa video) nimefurukuta awapi!!!!!:biggrin: msaada wako Invisible, Paw na yeyeote mwenye ujuzi huu!!
 
Reactions: Paw
Ebu weka swali lako vizurri alieleweki,vingnevyo tutakupa maelezo yasio eleweka pia
 
Ebu weka swali lako vizurri alieleweki,vingnevyo tutakupa maelezo yasio eleweka pia
Boss wangu nimeweka tena upya kama ulivyo agiza lakini usipoelewa na hapa yumkini wewe utakuwa ni kilaza na msaada wako utakuwa hauwezi kukidhi mahitaji yangu!:A S shade:
 
Unataka kuweka wapi mkuu? Hapa jukwaani ama? Swali lako liko wide sana
 
mkuu unapoenda katika sehemu ya kuandikia kitu usiandike kwanza we click go advanced


then itafunguka sehemu nyengine ya kuandikia hapo utapata sehemu ya kueka attachment click icon ya attachment kama picha chini inavyoonesha


then itakuja pop up window ya kuchagua file unalotaka ku upload hapo utaweza ku upkoad audio yako.
nimeeka attachment kama demo
 

Attachments

senkiyu sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…