Msaada kwa anayefahamu Microsoft Powerpoint na Excel

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
887
Reaction score
1,596
Wakuu nipo katika harakati za kujifunza Computer lakini sijaelewa vizuri kuhusu maana na kazi za Microsoft Powerpoint na Excel.

Mwenye ufahamu na hili msaada tafadhali.
 
Kajifunze kama hujaelewa huko ndio uje kuuliza tena

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
MS Excel (spreadsheet)
Kazi yake kubwa ni kufanyia mahesabu ya fani mbalimbali
1. Hesabu za Kihandisi
2. Uhasibu
3. Statistics
4. Analysis ya data
6. Kuandaa matokea ya wanafunzi
7. Air/bus ticketing
8. Supermarket
........
Ina kazi nyingi sana za kimahesabu na huwezi kuzijua zote, hapa inategemea wewe unataka kutumia kwa matumizi gani, then unajifunza.

MS Powerpoint
Hii ni kwa ajili ya presentation (Uwasilishaji mada)

NB: Lakini mimi nimesha acha kutumia MS Powerpoint, natumia BEAMER. Kwa wale wanaojua LATEX wengi wao wanatumia beamer.
 
Ahsante mkuu ubarikiwe
 

yeah,, kwa kuwa mm ni mwalimu huwa nadeal zaidi na hiyo no. 6 kuandaa matokeo ya vijana wangu upande wa excel na naimdu kimtindo
 
ungekuwa jirani ndani ya dk 20 ungeweza kutumia vyote kwa hatua za kawaida kabisa nyingine ungeendelea kujua kadri ya mazoezi
 
ungekuwa jirani ndani ya dk 20 ungeweza kutumia vyote kwa hatua za kawaida kabisa nyingine ungeendelea kujua kadri ya mazoezi
upo wapi mkuu nikutafute
 
Jaribu hata kuingia Youtube uangalie vidio...Search Microsoft Excel and Powerpoint tutorials for beginners utachagua miaka husika 2003,2007,2010,2013 au 2016.
 
Jaribu hata kuingia Youtube uangalie vidio...Search Microsoft Excel and Powerpoint tutorials for beginners utachagua miaka husika 2003,2007,2010,2013 au 2016.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…