Msaada kwa anayefahamu mbegu bora ya zao la alizeti

shibela

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
628
2,119
Wasalamu wadau,

Ninajiandaa kwa kilimo cha alizeti. Naomba kwa anayefahamu mbegu nzuri, inayotoa alizeti na mafuta mengi anijuze.

Asanteni na Mungu awabariki
 
Wasalamu wadau,ninajiandaa kwa kilimo cha alizeti,naomba kwa anayefahamu mbegu nzuri,inayotoa alizeti na mafuta mengi anijuze.
Asanteni na Mungu awabariki

Habari za muda huu wanakundi hili.

Tukiwa tunaelekea kuanza msimu wa kilimo kwa mwka 2018/2019.

Tunapenda kuwafahamisha wakulima wetu kuwa Kampuni ya Bytrade Tanzania Limited inayo furaha kuwatangazia Wakulima wote wa alizeti nchini kuwa kwa mara ya nyingine Tanzania, tunaendelea kuwaletea mbegu bora kabisa ambayo ni chotara(Hybrid) ya Alizet ijulikanayo kwa jina la _*HYSUN 33*_.

Mbegu hii inastawi vizuri sana na kufanya vizuri sana katika maeneo mengi ya nchi yetu ya Tanzania.

A:Sifa za mbegu hii.

1. Inastahimili hali ya hewa inayoathiri ukuaji wa mazao kama magonjwa ,mvua nyingi zinazopita kiasi na kustahimili ukame kwa maeneo yenye mvua chache,tofauti na mbegu za asili tulizozoea kulima kwa muda mrefu.

2.Mkulima anaweza kuvuna hadi tani moja kwa ekari ukilinganisha na mbegu za kienyeji(Asili) ambazo mavuno yake ni kidogo sana kwa ekari.

B:Kiwango cha mafuta (Oil Content),

Mbegu nyingi zilizopo sokoni sasa hivi kiwango cha mafuta(oil content) huwa ni 18-22% ikimaanisha kuwa mkulima akiwa na gunia la alizeti lenye ujazo wa kilo mia akikamua mafuta atapata lita 18 hadi 22 kwa mbegu za asili. Hii ni sawa na kusema ukiwa na Tani moja ya alizeti utapata mafuta lita 180 hadi 220.

Lakin kwa mbegu hii ya _*Hysun 33*_ kiwango cha mafuta (oil content) ni kati ya 45_48%, Hii ni sawa na kusema kuwa kwa gunia lenye ujazo wa kilo mia utapata mafuta kati ya lita 45-48, Na kwa tani moja unaweza kupata lita 450 hadi 480 kama utazingatia taratibu zote za kilimo kama tutakavyokushauri.

Tulime kwa Tija wakulima.Lima eneo kidogo pata mavuno mengi.

Kiwango cha mbegu cha kupanda.(Seed rate)

Mbegu hii unaweza kutumia kilo 2 tu kupanda ekari moja na ukajihakikishia kupata tani moja yako.

Nawashauri wakulima wote wa Alizeti nchini walime mbegu hii ili kujihakikishia mavuno bora zaidi na kujiongezea kipato zaidi.

Bei ya mbegu hii ni Tsh 70,000/ 2kg inayopanda ekari moja na 35000 kwa kilo moja inayopanda nusu ekari.

Mbegu inasambazwa nchi nzima na kampuni ya Bytrade Tanzania Limited.

Au kama una maswali yyte au unahitaji maelezo ya Ziada kuhusu mbegu hii na jinsi ya upatikanaji wake waweza wasiliana nasi kwa!:
Eliah Joseph Kituye.
Technical Field and Sales Agronomist.
Bytrade Tanzania Limited.
P.o.Box 3491
Dar-Es-Salaam,Tanzania.
Simu:
0757339292
0789922670
0713068181.

Unaweza kushare kwa makundi mengine ya Whatsapp ili kuwawezesha wakulima wengi zaidi kujipatia mbegu hii chotara.
 
Asante! Je imethibitishwa ubora wake na Taasisi ya Kuthibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI)?
 
Habari za muda huu wanakundi hili.
Hello, Nataka kujua ofis yenu iko wapi kwa Darn Es Salaam

Kwa yeyote anaehitaji kuwa na Mashine ya kukamua mafuta ya Alizeti tunakukaribisha hizi Mashine kuanzia million saba tu
Tuone hapa Najidakia Online Store au customer care 0762612213

Mashine ya million saba hukamua kuanzia gunia 3-6 Kwa saa
tapatalk_jpeg_1532008564083.jpg
 
Habari za muda huu wanakundi hili.

Tukiwa tunaelekea kuanza msimu wa kilimo kwa mwka 2018/2019.

Tunapenda kuwafahamisha wakulima wetu kuwa Kampuni ya Bytrade Tanzania Limited inayo furaha kuwatangazia Wakulima wote wa alizeti nchini kuwa kwa mara ya nyingine Tanzania, tunaendelea kuwaletea mbegu bora kabisa ambayo ni chotara(Hybrid) ya Alizet ijulikanayo kwa jina la _*HYSUN 33*_.

Mbegu hii inastawi vizuri sana na kufanya vizuri sana katika maeneo mengi ya nchi yetu ya Tanzania.

A:Sifa za mbegu hii.

1. Inastahimili hali ya hewa inayoathiri ukuaji wa mazao kama magonjwa ,mvua nyingi zinazopita kiasi na kustahimili ukame kwa maeneo yenye mvua chache,tofauti na mbegu za asili tulizozoea kulima kwa muda mrefu.

2.Mkulima anaweza kuvuna hadi tani moja kwa ekari ukilinganisha na mbegu za kienyeji(Asili) ambazo mavuno yake ni kidogo sana kwa ekari.

B:Kiwango cha mafuta (Oil Content),

Mbegu nyingi zilizopo sokoni sasa hivi kiwango cha mafuta(oil content) huwa ni 18-22% ikimaanisha kuwa mkulima akiwa na gunia la alizeti lenye ujazo wa kilo mia akikamua mafuta atapata lita 18 hadi 22 kwa mbegu za asili. Hii ni sawa na kusema ukiwa na Tani moja ya alizeti utapata mafuta lita 180 hadi 220.

Lakin kwa mbegu hii ya _*Hysun 33*_ kiwango cha mafuta (oil content) ni kati ya 45_48%, Hii ni sawa na kusema kuwa kwa gunia lenye ujazo wa kilo mia utapata mafuta kati ya lita 45-48, Na kwa tani moja unaweza kupata lita 450 hadi 480 kama utazingatia taratibu zote za kilimo kama tutakavyokushauri.

Tulime kwa Tija wakulima.Lima eneo kidogo pata mavuno mengi.

Kiwango cha mbegu cha kupanda.(Seed rate)

Mbegu hii unaweza kutumia kilo 2 tu kupanda ekari moja na ukajihakikishia kupata tani moja yako.

Nawashauri wakulima wote wa Alizeti nchini walime mbegu hii ili kujihakikishia mavuno bora zaidi na kujiongezea kipato zaidi.

Bei ya mbegu hii ni Tsh 70,000/ 2kg inayopanda ekari moja na 35000 kwa kilo moja inayopanda nusu ekari.

Mbegu inasambazwa nchi nzima na kampuni ya Bytrade Tanzania Limited.

Au kama una maswali yyte au unahitaji maelezo ya Ziada kuhusu mbegu hii na jinsi ya upatikanaji wake waweza wasiliana nasi kwa!:
Eliah Joseph Kituye.
Technical Field and Sales Agronomist.
Bytrade Tanzania Limited.
P.o.Box 3491
Dar-Es-Salaam,Tanzania.
Simu:
0757339292
0789922670
0713068181.

Unaweza kushare kwa makundi mengine ya Whatsapp ili kuwawezesha wakulima wengi zaidi kujipatia mbegu hii chotara.
MKUU NAPENDA KUULIZA HII MBEGU MFANO ULIIMA MWAKA JANA UNAWEZA KUIRUDIA KWENYE ENEO JINGINE TOFAUTI NA ULIPOPANDA AWALI NA IKAKUBALI
HII MBEGU NZURI SANA
 
Back
Top Bottom