Msaada kwa anayefahamu chuo cha afya Mpwapwa

7ya

Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
43
Reaction score
0
Kwa mwenye kufahamu mpwapwa school of nursing anielekeze jinsi ya kufika
 
Boresha bandiko lako japo kidogo basi usaidiwe maana naona unahitaji watu waanze kuwa watabiri hatujui unako wapi au unataka kujua namna ya kufika Mpawpwa kutokea wapi??

Lakini pia jijengee uwezo wa kufahamu namna ya kupata taarifa sahihi bila kuuliza uliza kwenye mitandao ya kijamii maana ninaamini unao uwezo wa kupata mawasiliano ya chuo husika na wakakupa maelekezo ya namna ya kuwafikia kwa urahisi na uhakika
 
  • Thanks
Reactions: 7ya

Nisaidie mawasiliano yao mkuu kama unayo
 
8ea7a596f2c1e4f9175c7c7cc33797da.jpg
 
Back
Top Bottom