Mzee Wa Arsenal
New Member
- Sep 19, 2017
- 3
- 0
Wakuu naombeni mwenye uelewa wa taratibu za kurisit anijuze kwasababu nataka kurisit masomo ya sayansi PCB pamoja na B/mathematics lengo ni kuja kuapply clinical medicine hapo baadaye katika hayo masomo nina D kote isipokuwa F ya maths.
Naombeni msaada when ila teyari nishahitimu chuo hivyo lengo langu nu kusomea clinical medicine hapo baadaye...
Asanteni
Naombeni msaada when ila teyari nishahitimu chuo hivyo lengo langu nu kusomea clinical medicine hapo baadaye...
Asanteni