Oky Karibu sana
Sir_Mimi,
1. Kueongeza speed ya interenet kwenye simu yako unaweza kifuata maelezo haya marahisi pamoja na video kwa msaada zaidi.
Moja kwa moja baada ya kujua hayo sasa chukua simu yako na fuata hatua hizi ili kuongeza speed ya internet katika smartphone yako. Moja kwa moja ingia katika
Setting kisha bofya
Connection kisha bofya
More Networks alafu bofya
Mobile network alfu utabofya kwenye
Network mode hapo litatokea box lenye sehemu zifuatazo
wcdma/gsm (auto connect),
wcdma only na
gsm only kama umeziona sehemu hizo basi moja kwa moja bofya sehemu ilipoandikwa
wcdma only. Baada ya hapo utaona nework ya simu yako ikizima kisha kuwaka tena, ukimaliza hatua hizi jaribu kutumia internet yako hapo utaona speed ya internet kuongezeka sana.
2. Kama unataka kuongeza speed ya simu yako pamoja na kufanya idumu na chaji muda mrefu basi fuata hatua hizi rahisi na uhakika kwa namna moja ama nyingine zitaweza kukusadia.
Kwenye video nimesema ni muhimu kuzima hizo Animation, hii ni kwa sababu animation hizi hutumia kiwango kikubwa sana cha chaji kwenye simu yako kwani hizo ndio zile zenye kufanya wakati unagusa kufungua sehemu flani au programu flani basi sehemu hiyo ufunguka kwa (manjonjo flani). Pia ni vizuri kupunguza kiasi cha mwanga kwani kioo cha simu ndio kinaongoza kwa kutumia chaji nyingi hivyo ukiweka Automatic basi kioo chako kita punguza mwanga kutokana na wakati hivyo utaweza kutunza chaji zaidi kwenye simu yako ya android.
Unaweza kudownload Programu ya Smart Manager hapa
Download Smart Manager Provider.apk
(Kumbuka programu hii ni kwaajili ya Samsung hivyo isipo fanya kazi kwenye simu yako nyingine tuandikie kwenye maoni ili tuweze kuiweka sawa na simu yako)
Natumaini Hii itakuwa Imekusaidia kwa namna moja ama nyingine.. kama kuna mahali umekwama usisite kutandikia kwenye maoni hapo chini.