shekhe89 Member Joined Aug 26, 2014 Posts 49 Reaction score 2 Sep 24, 2015 #1 Habari zenu wana jamvi, mm ni kijana kutoka zanzibar, hii kampuni wamenipigia simu kwmba wananihitaji cku ya jmosi kwa ajili ya kufanya interview, naomba kwa anaefahamu hii kampuni anipe ushauri wowote asanteni +255 772 993 820
Habari zenu wana jamvi, mm ni kijana kutoka zanzibar, hii kampuni wamenipigia simu kwmba wananihitaji cku ya jmosi kwa ajili ya kufanya interview, naomba kwa anaefahamu hii kampuni anipe ushauri wowote asanteni +255 772 993 820
Kidume cha mbegu JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 1,251 Reaction score 710 Sep 24, 2015 #2 Hiv coy ndiyo nini? hiv nyie watu mnajuwa kupata kazi ni sawa na kuuza mitumba eti? haya subili
shekhe89 Member Joined Aug 26, 2014 Posts 49 Reaction score 2 Sep 24, 2015 Thread starter #3 Kidume cha mbegu said: Hiv coy ndiyo nini? hiv nyie watu mnajuwa kupata kazi ni sawa na kuuza mitumba eti? haya subili Click to expand... hapo je mkuu coy means company
Kidume cha mbegu said: Hiv coy ndiyo nini? hiv nyie watu mnajuwa kupata kazi ni sawa na kuuza mitumba eti? haya subili Click to expand... hapo je mkuu coy means company
T Teresia Mahimbi JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 271 Reaction score 91 Sep 25, 2015 #4 shekhe89 said: hapo je mkuu coy means company Click to expand... Yan hata websie umeshindwa kutafuta??kweli wabongo hatuko serious halafu tunalia lia wakat ukipewa fursa unashinmdwa kujiongeza
shekhe89 said: hapo je mkuu coy means company Click to expand... Yan hata websie umeshindwa kutafuta??kweli wabongo hatuko serious halafu tunalia lia wakat ukipewa fursa unashinmdwa kujiongeza
shekhe89 Member Joined Aug 26, 2014 Posts 49 Reaction score 2 Sep 25, 2015 Thread starter #5 Teresia Mahimbi said: Yan hata websie umeshindwa kutafuta??kweli wabongo hatuko serious halafu tunalia lia wakat ukipewa fursa unashinmdwa kujiongeza Click to expand... mkuu hapana maelezeo kwmba nimeshndwa kutafta info kwa website hapo. soma vizuri tafadhali but any way thx
Teresia Mahimbi said: Yan hata websie umeshindwa kutafuta??kweli wabongo hatuko serious halafu tunalia lia wakat ukipewa fursa unashinmdwa kujiongeza Click to expand... mkuu hapana maelezeo kwmba nimeshndwa kutafta info kwa website hapo. soma vizuri tafadhali but any way thx