Msaada kwa anaefahamu utaratibu wa kusitisha masomo

makoye sana

New Member
Jun 12, 2017
3
20
Jamani wakuu naombeni msaada kwa anae jua namna ya kusitisha masomo me nilikua nasoma clinical medicine chuo cha private ikafika mahali wakawa wanamindi ada yao kulipa nikashindwa kulipa jamani ada kwa sababu mzee aliaga dunia nikaenda kwa msaji akaniambia niandike barua nikaandika then nikampa akaniambia shamaluza nisubili appkication juzi walipofungua nikajaribu kuomba ikagoma nikaambiwa sijaondolewa kwenye mfomo nikampgia cm msajili akaniambia niende nacte nikaenda nikaambiwa nifate kibali chuoni mkuu akaninyima mpaka nilipe ada ninayodaiwa wakati naacha kwa sababu sna hela ,jamani nawaombeni msaada nifanyaje ili nipate haki yangu ya elimu?
 
Alexander McQueen

Senior Member
Aug 30, 2016
181
225

Duuuh pole sana ww uko wapi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom