Msaada kwa anaefahamu bei za playstations games China

play station 2 laki na nusu inäkwenda 4 laki 6 had laki 6 na nusu kwa china ukitaji nicheki nikuagizie mzigo unaupata baada ya siku 7
 
Nimeagiza mzigo kutoka China PS4 Slim (mbili) Tshs. 500,000/= kila moja.
 
Play Station tamu eeh🤣🤣🤣,,,aliskika mlevi mmoja!
 
Back
Top Bottom