Kwa anaejua jinsi ya kuzuia msg za mnara wa simu,kila baada ya dakika kumi zinaingia si chini ya msg tatu kutoka vodacom. Napata shida kila wakati ni kudelete tu msg,
Natumia TECNO N3.
Help please...
Mkuu Opaque, nashukuru nimekaa zaidi ya nusu saa naona msg haziingii tena.nashukuru.
Nimeenda kwenye msg-settings-broadcast msg then nika-Unable CELL BROADCAST MSG na BROADCAST CHANNELS.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.