Msaada: Kuwatumia SMS watu zaidi ya 2000

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Habarini wanajamvi! Najua hapa ni msaada wa kila kitu! Mimi nina sehemu yangu nahudumia watu sasa nina watu zaidi ya 2000 ambao nimewasave namba zao za simu na majina yao! nimewasave katika MICROSOFT EXEL hawa watu nahitaji kuwatumia SMS moja iende kwa Watu woteee Zaidi Ya 2000 je njia gani nitumie ambayo ni Rahisi zaidii! Nikifikiria kuanza kuandika majina Yote 2000 na kuyasave katika Simu yangu itanichukua mda mrefu sana sana! Sasa njia ipi ni rahisi?

je kuna njia rahisi ya kuhamisha haya majina toka kwenye Exel kwenda kwenye phonebook yangu? au kuna njia yoyote rahisi ya kuwatumia hawa watu ujumbe?

Msaada tafadhari
 
search YouTube watakuelekeza vizur jins gan utaweza watumia
 
Sio gharama kubwa kumbe na Utaratibu gani unatumika maana naona wanaelezea tuu ila hawaniambii utaratibu wa kufuata niweze kufanya!

kama utaweza kuwatag hao watu naomba msada wako chief

hapa
Biashara ya SMS za jumla

ukiona mtu anakwambia bei kubwa ujue ni dalali, ni vyema ukaenda kwa wenyewe kabisa wahusika.
 
Kitu cha kufanya: hakikisha no zote umezisevu hivi mf: 0756-123456, baada ya hapo highlite ukianzia juu kwenda chini zisizidi no 100 kisha copy na u paste kule kwenye uwanja wa msg mahali tunapoweka majina, kisha andika msg yako moja tuma, uendelee hivyo hadi yote, ukifanya mqra ya kwanza usifute hizo msg utakuwa ukizitumia unaandika tu msg moja unatuma hizi zingine n9 mwendo wa ku copy na ku paste. Mimi huwa nafanya hivyo.
 
Angalia hapo
 
Mkuu.. mi sijaelewa.. kwenye kompyuta kuna uwanja wa msg?
 
Upo sehemu gani wewe???
 

kwenye Computer unatumia application gani kutuma sms maana majina yapi kwenye computer
 
Search fabievent utapata msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…